Baada ya mahoiano yaliyofanywa na waandishi wa Habari na aliyekua msemaji na mhamasishaji wa klabu ya Simba SC, Haji Manara na kufunguka mambo mbali mbali yaliyokua yakiendelea ndani ya wababe hao wa kariakoo. Manara akizungumzia mambo mbali mbali yaliyokua yakiendelea Simba na hatima yake. Msanii Diamond Platnumz kupitia ukurasa wake…