Na Ramadhan Hassan, Dodoma KATIBU Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Taifa (UVCCM), Kenan Kihongosi amewaagiza Wenyeviti na Makatibu wa Mikoa na Wilaya kusimamia uanzishwaji wa Klubu za Jogging katika maeneo yao lengo likiwa ni kufanya mazoezi ili kujikinga na magonjwa yasio ya kuambukiza. Akizungumza leo Julai 31, wakati…