Na Mwandishi Wetu, Dodoma Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Kirigini ameonyeshwa kukerwa na tabia ya viongozi wanaotokana na chama hicho kulumbana hadharani. Mjumbe huyo wa NEC ametoa rai hiyo leo Alhamisi Agosti 19, jijini Dodoma ambapo amesema malumbano baina ya Waziri wa Afya,…