Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Kampuni ya Muriya ambayo inajishughulisha na mradi mkubwa wa makazi nchini Oman, imehitimisha maonyesho yake ya kila mwaka ya makazi visiwani Zanzibar na sasa maonyesho hayo yanahamia jijini Dar es Saalam. Meneja wa miradi wa Kampuni ya ujenzi wa Nyumba za Makazi, nchini Oman, Ghizlane…