Na Zainab Nyamka,Michuzi TVSERIKALI imewapongeza Shirika la Posta Tanzania (TPC) na benki ya CRDB kuboresha ushirikiano wao katika kutoa huduma za kifedha kwenye Ofisi 200 za Shirika hilo nchini.Washirika hao wametakiwa kuhakikisha huduma zao zinawafikia watanzania wengi ili Tanzania ifikie uchumi wa kidigitali.Akizindua huduma za CRDB wakala katika ofisi za…