Bellington Lyimo, mbunifu wa Vifaa vya Maabara (kushoto) akielezea kuhusu ubunifu wake kwa watu wanaotembelea banda la VETA kwenye Maonesho ya Pili ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi yanayofanyika kwenye Uwanja wa Jamhuri, jijini Dodoma, Mei 27 hadi 2 Juni 2021. Na Mwandishi Wetu, Dodoma Bellington Lyimo, mbunifu wa vifaa…