Ni wazi kuwa biashara nyingi sasa zinapatikana mtandaoni, kutokana na ongezeko la watumiaji wa Internet pamoja na urahisi wa utumiaji wa mitandao ni wazi kuwa sasa watu wengi hukimbilia mtandaoni kununua bidhaa mbalimbali.Kuliona hili leo nimekuletea makala ambayo najua itakusaidia kuweza kununua bidhaa bora kwenye mitandao hasa mtandao wa Instagram.Najua…