CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeomba huduma ya utoaji chanjo ya ugonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa na Virusi vya Corona (Covid-19), iwe ya lazima badala ya hiari kama ilivyotangazwa na Serikali. Anaripoti Mwandishi Wetu, Mwanza … (endelea). Wito huo umetolewa leo Jumatatu, tarehe 19 Julai 2021 na…