Mkurugenzi wa Shule ya Awali na Msingi ya Junior Scholar, Rose Kitosi na Meneja wa shule hiyo, Dismas Mbwana wakicheza pamoja na wahitimu wa darasa la saba wakati wa mahafali ya kwanza yaliyofanyika shuleni hapo. Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Shule ya Awali na Msingi ya Junior Scholar iliyopo Wilaya…