Na Beatrice Kaiza, Mtanzania Digital Wasanii wa Injili nchini wanatarajia kufanya Tamasha kubwa la shukurani katika Uwanja wa Uhuru litakalofanyika Oktoba 3, 2021 jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Msama Promotion, Alex Msama(kulia) akiimba pamoja na Mwimbaji Upendo Nkone, wakati wa mkutano na Waandishi wa Habari. Picha na Beatrice Kaiza.…