Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Katika kuhakikisha watu wenye hali mbalimbali wanatoa tabasamu katika kipindi cha Sikukuu ya Eid El Fitri, Benki ya NMB imetoa msaada katika vituo vya watoto yatima kanda zote za benki hiyo nchini ambapo zaidi ya watoto 1000 katika vituo 12 nchini wamefikiwa na msaada…