Waziri wa Viwanda na Biashara,Profesa Kitila Mkumbo, (kushoto) akiangalia mifumo ya uzalishaji ya TBL, alipotembelea kiwanda cha bia cha Dar es Salaam hivi karibuni. Mkurugenzi wa TBL, Jose Moran, akieleza shughuli za kampuni kwa Wabunge wa Kamati ya Viwanda walipotembelea kiwanda cha Ilala Waziri wa Uwekezaji Geofrey Mwambe akitoa hotuba…