Na MWANDISHI WETU Serikali imesitisha leseni ya uchapishaji na usambazaji wa Gazeti la Uhuru kwa siku 14 kuanzia Agosti 12, 2021, likidaiwa kutoa taarifa za uongo kuhusu Rais Samia Suluhu Hassan. Kwa mujibu wa taarifa iliyotumwa kwa vyombo vya habari leo Jumatano, Agosti 11, na Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO,…