Banda la Barrick laendelea kuvutia wengi maonesho ya Sabasaba Kampuni ya madini ya Barrick inashiriki katika maonyesho ya Biashara ya Kimataifa ya 45 yanayaoendelea jijini Dar es Salaam ambapo banda lake la maonyesho na wajasiriamali inaowawezesha kutoka vijiji jirani na mgodi wa Bulyanhulu mkoani Shinyanga linaendelea kuwavutia wananchi na viongozi…