QUEBEC, CANADA BAADA ya kufanya vizuri na ngoma yake, Only You God, staa wa gospel nchini Canada, Jonathan Budju amerudi kivingine na video ya wimbo You Are So Good. Akizungumzia wimbo huo, Jonathan amesema unauelezea uzuri wa Mungu kwa maisha ya mwanadamu hivyo kila mwenye pumzi anapaswa kumsifu na kumshukuru…