TURIN, ITALIA. MABOSI wa Juventus wanamsikilizia supastaa wao Cristiano Ronaldo kufanya uamuzi wa kuhusu hatima yake kwenye kikosi hicho baada ya chama lake la Ureno kutupwa nje ya michuano ya Euro 2020. Kinachoelezwa ni Ronaldo yupo kwenye rada za miamba Manchester United na Paris Saint-Germain dirisha hili la uhamisho wa…