Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Jumuiya ya Waislamu ya Khoja Shia Ithanasheri imefanya matembezi ya kuomboleza kifo cha mjukuu wa Mtume Muhammad, Imam Hussain aliyeuawa miaka 1,300 iliyopita katika Mji wa Karbala Iraq. Katibu wa Jumuiya ya Khoja Shia Dar es Salaam, Imran Sherali, amesema siku hiyo ya Ashura huadhimishwa…