KIUNGO wa Klabu ya Simba na Timu ya Taifa ya Zambia, Clatous Chama (29) amefiwa na mke wake Bi. Mercy Chama. nchini Zambia. Kupitia taarifa rasmi iliyotolewa na Wakala wake imeeleza kuwa; “Ni majonzi makubwa, tunasikitika kutangaza kifo cha mke wa mchezaji Clatous Chama, Mercy Mukuka Chama.…