Veronica Simba na Hafsa Omar – Mara Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuvunja rekodi kwa Marais wote wa Afrika katika uunganishaji umeme vijijini. Waziri wa Nishati, Dk. Medard Kalemani amebainisha hayo wakati akizungumza na wananchi katika hafla ya uzinduzi wa Mradi Kabambe wa Kusambaza…