Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla. Na Faraja Masinde, Mtanzania Digital Tanzania inaendelea na utoaji wa chanjo ya virusi vya Corona kwenye maeneo mbalimbali nchini tangu kuzinduliwa kwa mpango huo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan. Ni katikati ya mpango huo ndipo…