Na Jeremia Ernest, Mtanzania Digital NYOTA wa Muziki wa Kizazi kipya, Faustine Mfinanga ‘Nandy’, amewashukuru wadau wa muziki nchini kwa kumshika mkono hadi kufikia kupata mikataba minono. Akizungumza Dar es Salaam leo Jumamosi Agosti 14, 2021, katika hafla ya kutangazwa kuwa Balozi wa kinywaji cha Guinness Pan Africa, Nandy amesema…