Clara Matimo na Sheila Katikula, Mwanza Rais Samia Suluhu Hassan, ameziagiza halmashauri zote nchini kuwatengea wafanyabiashara wadogo (machinga), maeneo yanayofikiwa na watu ili waweze kunufaika na biashara zao, badala ya kuwapeleka katika maeneo ya mapori. Pia amewata machinga kutotumika kwa wafanyabiashara wa kati maana baadhi yao wamekuwa wakichukua bidhaa…