Mkurugenzi wa Mawasiliano Benki ya CRDB akionyesha bango linaloonyesha zawadi mbalimbali zitakazotolewa kwa washindi wa CRDB Bank Marathon 2021. Wengine pichani ni Mkurugenzi wa Uendeshaji wa EFM, Denis Busulwa (kulia), Meneja Masoko wa Strategis, Lilian Malakasuka (wapili kulia) na Mkuu wa Kitengo cha BancAssurance Alliance General, Osward Tellis. ======= ====== …