Na Derick Milton, Simiyu Hatimaye sakata la mama mmoja anayefahamika kama, Zawadi Sayi Abdallah mkazi wa Kidinda Halmashauri ya Mji wa Bariadi mkoani Simiyu kudai kuwa alijifungua mapacha lakini akapewa mtoto mmoja limepatiwa majibu baada ya Tume iliyoundwa na Serikali kubaini kuwa mama huyo alijifungua mtoto mmoja na siyo mapacha.…