Staa wa muziki kutoka nchini Uganda Jose Chameleon aliyetamba kwa vibao kama Jamila, Tubonge anaumwa taarifa kutoka kwa mkewe Daniella zinasema. Kwa mara ya kwanza Chameleon alifikishwa hospitali mwaka 2020 Agosti na amewahi kulazwa mara 5 katika hospitali ya Nsambya huko Kampala. Jose alifikishwa kwenye hospitali ya Nakasero wiki moja…