Twaha Khassimu almaarufu “Twaha kiduku” ameibuka kidedea kwenye pambano la masumbwi la usiku wa deni lilifanyika jijini Dar es salaam. Pambano hilo la raundi kumi lilimkutanisha na rafiki yake Abdalah Pazi almarufu “Dulla mbabe” ambaye licha ya kumpeleka chini Kiduku kwenye mzunguko wa kwanza alishindwa kufurukuta na kujikuta akipokea makonde…