Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo ya Wasioona Tanzania (TAB), Omary Itambu. Na Nora Damian, Mtanzania Digital “Nina mfano wa mtu mmoja aliwahi kuambiwa wewe uko hivyo (yaani mwenye ulemavu wa macho) utawatisha wateja wetu, mwingine alikuwa mwenye ualbino naye alikataliwa akaambiwa hawezi kazi ya garden,” anasema Omary Itambu ambaye ni…