Taarifa iliyotolewa na ofisi ya mawasiliano ya Bunge la Tanzania hata hivyo haikueleza kwa undani zaidi kuhusu tuhuma hizo zinazowakabili wabunge hao wote kutoka chama tawala cha CCM. B Askofu Gwajima ambaye ni mbunge wa Kawe anatakiwa kufika mbele ya kamati hiyo Jumatatu, Agosti 23 huku Silaa akitakiwa Jumanne Agosti…