Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Kassim Majaliwa (kulia) akiongea na Rais wa Benki ya Afrika, Othman Benjelloun, katika Hoteli ya Sofitel, Rabat nchini Morocco alipofanya ziara ya kikazi nchini humo. **** Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Kassim Majaliwa, ameishukuru Bank of Afrika…