Radi nchini Bangladesh imewapiga na kuwaua wageni 17 waliohudhuria sherehe ya harusi moja nchini humo. Watu 14 wengine ikiwemo bwanaharusi , walijeruhiwa . Wakati huo bi harusi hakuwepo katika sherehe hiyo. Sherehe hiyo ilikuwa inafanyika katika boti moja katika mji uliopo karibu na mto wa Shigbanj, wakielekea katika nyumba ya…